KITAIFA
-
COASTAL UNION YAACHANA NA KOCHA WAO DAVID OUMA RAIA WA KENYA
Timu ya Coastal Union imeachana na kocha wao David Ouma raia wa Kenya, Ouma na Coastal wamefikia makubaliano ya pande…
Read More » -
MVP Wa Ligi Mbalimbali Kuja Kucheza NBCPL Ina Maana Gani?
Ni safari ya zaidi ya miaka 30, ni safari ambayo wengi waliitamani, mapinduzi makubwa ya kisoka nchini yameanza kuja, uongozi…
Read More » -
KWA MABORESHO HAYA WADHAMINI WA LIGI MMETISHA
Moja ya njia bora ya kutaka mafanikio ni kukubali kukuwa, kukubali kubadilika na kuongeza juhudi na wakati mwingine kukubali kuiga…
Read More » -
MUTALE MAMBO BADO NDANI YA SIMBA
INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids, kuna uwezekano akakosekana kwenye mchezo ujao wa ligi.…
Read More » -
ENG HERSI: ALLY KAMWE NDIO AFISA HABARI WA YANGA
“Klabu yetu haina boss wa kitengo cha habari na mawasiliano,mimi ndio boss wa mawasiliano wa klabu na si mtu mwengine.…
Read More » -
UGONJWA UNAOITESA SIMBA YA FADLU….WAPATIWA DAWA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kuna ugumu kwenye kutengeneza nafasi za wazi katika mechi za ushindani jambo linalowafanya kutumia…
Read More » -
Nimempa maelekezo Dube, kama atayafuata atatisha sana – Gamondi
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema Prince Dube ni mshambuliaji mzuri na mwenye uwezo mkubwa, lakini kuna baadhi ya mambo…
Read More » -
SIMBA YAKIRI UGUMU KUTENGENEZA NAFASI ZA KUFUNGA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kuna ugumu kwenye kutengeneza nafasi za wazi katika mechi za ushindani jambo linalowafanya kutumia mbinu nyingine…
Read More » -
AZAM FC YATAJA UGUMU WA APR ULIPO
BENCHI la ufundi la Azam FC limebainisha kuwa lina kazi kubwa yakufanya kuelekea mchezo wa marudio dhidi ya APR ya Rwanda unaotarajiwa…
Read More » -
Shearer afichua, Chelsea wamwambia Sterling atafute klabu nyingine
Mchezaji wa zamani wa Newcastle United, Alan Shearer, amedai kuwa Chelsea tayari wamemwambia mshambuliaji wao Raheem Sterling, kutafuta klabu nyingine.…
Read More »