KIMATAIFA
-
UEFA NATIONS LEAGUE KUTOA MAMILIONEA LEO
Unaweza kushinda mamilioni leo kwa kubashiri michezo mbalimbali ya michuano ya Uefa Nations League ambayo itapigwa leo, Kwani kipindi hiki…
Read More » -
Kwa Ureno ukiacha Ronaldo, Bernardo Silva ndiye mchezaji mwingine ninayempenda – Modric
Kiungo wa kati wa Croatia, Luka Modric, amemtaja Bernardo Silva kama mchezaji mwingine wa Ureno anayempenda mbali na Cristiano Ronaldo.…
Read More » -
Waarabu wanamtaka Mateo Kovacic kwa mshahara wa Bilioni 2.7 kwa wiki
Klabu ya Al-Nassr ya Saudi Arabia wanalenga kumsajili Mateo Kovacic kwenye dirisha dogo la usajili la mwezi Januari 2025. Klabu…
Read More » -
TEN HAG BADO YUPO SANA UNITED – C.E.O ASEM
Baada ya mfululizo wa matokeo mabaya tangu kuanza kwa msimu wa ligi kuu Uingereza 2024-25 Afisa mtendaji mkuu wa klabu…
Read More » -
MCHEZAJI APEWA KIPIGO KISA KUVAA JEZI YA BAYERN MUNICH
Jeshi la Polisi Nchini Ujerumani linafanya uchunguzi juu ya shambulio dhidi ya mchezaji wa Nurnberg, Niklas Wilson Sommer baada ya…
Read More » -
BEKI WA ZAMANI EPL, SOL BAMBA AFARIKI
Beki wa zamani wa Leicester City, Leeds United na Cardiff City, Sol Bamba ambaye amepoteza maisha Agosti 31, 2024 akiwa…
Read More » -
De Bruyne azikataa (Bilioni 3.5 kwa wiki) ili akacheze kwa waarabu
Mchezaji wa Manchester City, Kevin De Bruyne alikataa ofa ya kitita cha Pauni Milioni 1 kwa wiki (sawa na Bilioni…
Read More » -
MCHEZAJI APOTEZA MAISHA BAADA YA KUANGUKA UWANJANI
Mchezaji wa timu ya Club National de Football Juan Izquierdo mwenye umri wa miaka 27 raia wa Uruguay amefariki dunia…
Read More » -
TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMATANO 28.8.2024
Chelsea wanataka kumsajili mshambuliaji wa Brentford na England Ivan Toney, 28. The Blues hata hivyo hawataweza kufikia mshahara unaopendekezwa na…
Read More » -
RODRIGUEZ KUREJEA LIGI KUU YA ITALIA BAADA YA KUKIWASHA COPA-AMERICA
Baada ya kuwasha moto na kuwa mchezaji bora wa michuano ya kombe la Mataifa Amerika (Copa-America) kiungo mshambuliaji na nahodha…
Read More »