KIMATAIFA
-
SABABU YA NYOTA MASON GREENWOOD KUBADILISHA UTAIFA, KUICHEZEA JAMAICA
Inaelezwa kuwa nyota wa zamani wa Manchester United Mason Greenwood anakaribia kubadilisha taifa atakaloliwakilisha kwenye soka. Taarifa za ndani kabisa…
Read More » -
Ronaldo afungua akaunti ya Youtube na kupata wafuasi laki 3 ndani ya nusu saa
Nyota wa kimataifa wa timu ya Taifa ya Ureno na vilabu vya soka vya Real Madrid, Manchester United, Juventus na…
Read More » -
Halland ni kama Messi na Ronaldo – Guardiola
Kocha mkuu wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola akizungumza kuhusu Haaland baada ya mechi ya jana dhidi ya Chelsea…
Read More » -
Osimhen kumrithi Mbappe PSG, azikataa Chelsea na Arsenal
Mshambuliaji hatari wa Napoli na timu ya Taifa ya Nigeria, Victor Osimhen anadaiwa kuzikataa Chelsea na Arsenal na amepanga kusubiri…
Read More » -
Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi tarehe 17.08.2024
Crystal Palace wanatazamiwa kukataa ofa ya nne yenye thamani ya pauni milioni 65 pamoja na nyongeza kutoka kwa Newcastle kwa…
Read More » -
TETESI ZA SOKA ULAYA IJUMAA 16.08.2024
Christian Eriksen ameambiwa na Manchester United kwamba anaweza kutafuta klabu nyingine, Erik ten Hag hana mpango wa kuungana na Frenkie…
Read More » -
FISTON MAYELE AKOSA UFUNGAJI BORA
Mshambuliaji wa Klabu ya Pyramids ya nchini Misri Fiston Kalala Mayele ameshindwa kuwa mfungaji wa Ligi Kuu ya Misri mara…
Read More » -
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMANATO 14.08.2024
Brentford wanashikilia bei wanayotaka kumuuza Ivan Toney, Ajax wanafikiria kumnunua Aaron Ramsdale, Real Madrid hawatapokea ofa zozote kutoka Saudi Arabia…
Read More » -
Vinicius Jr akataa ofa ya mabilioni ya pesa ili akacheze Saudia
Mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Mbrazil Vinicius Junior, ameripotiwa kukataa ofa ya kitita kikubwa cha pesa kutoka kwa waarabu, ili…
Read More » -
ALEXIS SANCHEZ AREJEA UDINESE
Alexis Sanchez amerejea Udinese siku ya Jumamosi baada ya mshambuliaji huyo wa Chile kunyofolewa na mabingwa wa Serie A Inter…
Read More »