Nyota wa kimataifa wa timu ya Taifa ya Ureno na vilabu vya soka vya Real Madrid, Manchester United, Juventus na Al Nassr Cristiano Ronaldo kwa mara ya kwanza amejiunga na mtandao wa kijamii wa Youtube na kuweka rekodi ya wafuasi zaidi laki 3 ndani ya nusu saa tu.
Ronaldo amejiunga na mtandao huo leo 21 Agosti 2024, saa 10 na dakika 20 jioni ambapo hadi saa 10 na dakika 50 alisharekodiwa kufikisha wafuasi laki 3.
unadhani baada ya saa 24 atakuwa na wafuasi wangapi?