KIMATAIFA

De Bruyne azikataa (Bilioni 3.5 kwa wiki) ili akacheze kwa waarabu

Mchezaji wa Manchester City, Kevin De Bruyne alikataa ofa ya kitita cha Pauni Milioni 1 kwa wiki (sawa na Bilioni 3.5 za kibongo) ili kujiunga Al-Ittihad ya Saudi Arabia.

Mbelgiji huyo akachagua kubakia Man City huku sababu kubwa ikielezwa ni yeye kuona ugumu wa kuhama na familia yake na hasa mazingira ya kumbadilishia shule mtoto wake mkubwa aitwae Mason Milian.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button