Share Facebook Twitter LinkedIn WhatsApp Pinterest Email Klabu ya Al-Nassr ya Saudi Arabia wanalenga kumsajili Mateo Kovacic kwenye dirisha dogo la usajili la mwezi Januari 2025. Klabu hiyo imeahidi dau la zaidi ya Dola milioni moja kwa wiki ili kumnasa kiungo huyo.