Vijana wanakwambia baada ya Lamine Yamal kuogeshwa tu na Messi basi tabu ikaanzia hapo, na ndio chanzo cha mtoto huyo kusumbua baba zake wadogo uwajani kutokana na ufundi wake.

Pichani (Kulia) ni mtoto Lamine Yamal akiogeshwa na Messi mwaka 2007, unaambiwa ndiyo kwanza alikuwa na miezi minne tu tangu amezaliwa, na hiyo picha (kushoto) ni mtoto huyo huyo (Lamine Yamal) akiwa na miaka 16 akiwatesa baba zake wadogo kama Toni Kroos mwenye miaka 34 kwenye michuano ya #EURO2024.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here