KITAIFA
-
AZIZ KI ATAJA KILICHOKWAMKISHA DILI LA KAIZER CHIEF’S
KIUNGO wa Yanga na MVP wa Ligi Kuu Bongo Msimu uliopita AZIZ KI amefunguka Kwa mara ya kwanza Sababu za yeye kubaki…
Read More » -
GAMONDI ACHIMBA MKWARA MZITO…HATUIJUI SIMBA
Katika mkutano wa waandishi wa habari ambao ulifanyika leo, Jumatano kwenye Uwanja wa Mkapa, Kocha Mkuu wa Yanga, Gamondi alikumbushiwa matokeo…
Read More » -
BENCHIKHA: MWILI UPO ALGERIA NAFSI IPO SIMBA
Aliyewahi kuwa kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha ambae kwa sasa yupo nchini Algeria akiwa kocha mkuu wa JS Kabylie,…
Read More » -
PSG YASHINDA MBIO YA KUWANIA SAINI YA KIUNGO JOAO NEVES BAADA YA KUKAMILISHA DILI
Klabu ya PSG imeshinda mbio ya kuwania saini ya kiungo Joao Neves baada ya kukamilisha dili hilo kwa dau la…
Read More » -
BODI YA LIGI ITATOA ADHABU KWA MAOFISA HABARI WACHEKESHAJI
Afisa mtendaji mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania ( TPLB ), Almas Kasongo ameeleza kuwa msimu ujao watatoa adhabu kwa…
Read More » -
ALIYEKUWA MPENZI WA WAZIZ KI AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME
Aliyekuwa mpenzi wa kiungo wa Yanga Stephane Aziz Ki muigizaji Mtanzania Vanessa Mmasa amejifungua mtoto na kupongezwa na baadhi ya…
Read More » -
NJOONI TAREHE 8 MFURAHIE KIPAJI CHA “PACOME ZOUZOUA”
Zikiwa zimesalia siku mbili kuelekea ‘dabi ya kariakoo’ ya Simba na Yanga itakayochezwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa, kiungo wa…
Read More » -
JEMBE: SIMBA WAMALIZANE VIZURI NA MANULA
LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa habari za michezo Bongo kitaifa na kimataifa, Saleh Ally wengi wanapenda kumuita Jembe ameweka wazi…
Read More » -
MVP ATUMA UJUMBE HUU KUELEKEA KARIAKOO DABI
MVP wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 Aziz Ki ameweka wazi kuwa kila baada ya mchezo mmoja kinachofuata ni maandalizi kwa…
Read More » -
TATIZO KUBWA LA SIMBA LIPO HAPA
Miongoni mwa mambo ambayo yanampasua kichwa Kocha Fadlu Davids ni pamoja na eneo lake la mwisho la ushumbuliaji na hilo…
Read More »