Aliyewahi kuwa kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha ambae kwa sasa yupo nchini Algeria akiwa kocha mkuu wa JS Kabylie, wakati akizungumza na waandishi wa habari ameiombea Simba mazuri katika msimu huu wa 2024/2025
“Tuko tayari kwa msimu mpya. Tunapaswa kurejea kileleni tena na kupigania mataji zaidi. Tuna kikosi kizuri cha kushindana. Tuna wachezaji wawili wazuri katika kila nafasi. Nilikuwa na wakati mzuri Tanzania na Simba SC na ninawatakia kila la kheri kwa msimu ujao.”
Kocha mkuu wa JS Kabylie Abdelhak Benchikha anawaambia waandishi wa habari nchini Algeria.