Klabu ya Kengold iliyopanda ligi kuu Tanzania bara msimu huu imemtambulisha rasmi aliyekuwa mchezaji wa klabu ya KMC na Singida Big Stars James Msuva kuwa mchezaji wao.
James Msuva ni ndugu wa kuzaliwa wa mshambuliaji wa timu ya Taifa Tanzania Simon Msuva.