Akifunguka katika #KipengaXtra msemaji wa Yanga Ali kamwe amesema ” Tumepanga kuanzia tarehe moja mtaanza kushuhudia taarifa za kuboresha kikosi chetu, nani anaondoka nani anakuja na kina nani wameongeza mkataba”

Pia aliongelea waandishi kusambaza taarifa za uzushi akisema “Taarifa aliyeitengeneza alitumia lugha ya uzushi, bahati mbaya vyombo vingi vya habari, wanahabari hawatafuti undani wa habari, kama kuwatafuta Yanga SC ili wapate undani wa habari”.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here