KIMATAIFA

HUYU HAPA MWAMUZI ATAKAYECHEZESHA MECHI KARIAKOO DABI TAREHE 08.08.2024

Mwamuzi Elly Sasii amechaguliwa kuchezesha mechi ya Kariakoo Derby kati ya Young Africans dhidi ya Simba mnamo Agosti 8, 2024 katika dimba la Mkapa

➡️ Mwamuzi Ahmed Arajiga atachezesha mechi ya Azam dhidi ya Coastal Union mnamo Agosti 8, 2024.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button