Siku ya leo tarehe 4, August 2024 Taifa lilisimama kwa muda kupisha Tamasha la kipekee ambalo limefanyika katika uwanja wa Mkapa, Tamasha la Kilele cha siku ya wananchi, ambapo kikosi cha Yanga msimu wa mwaka 2024/2025 kilitambulishwa.
Na hii hapa chini ni list ya wachezaji wote wa kikosi cha Yanga katika msimu huu wa mwaka 2024/2025.
Kikosi cha Yanga Msimu wa Mwaka 2024/2025
Bakari Mwamnyeto
Dickson Job
Khalid Aucho
Shekhan Khamis
Kibwana Shomari
Abuutwarib Msheri
Dennis Nkane
Chadrack Boka
Khomein Abubakary
Farid Musa
Kennedy Musonda
Salum Abubakary
Djgui Diarra
Clement Mzize
Nickson Kibabage
Duke Abuya
Yao Kouassi
Jonas Mkude
Aziz Andambwile
Jean Baleke
Ibrahim Bacca
Max Mpia Nzengeli
Mudathir Yahya
Price Dube
Clatous Chama
Aziz Ki
Pacome Zouzoua