KITAIFA

MWIGULU AKIRI KUUKUBALI MZIKI WA SIMBA

Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii za X pamoja na Instagram, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba ambaye ni shabiki mkubwa wa klabu ya Yanga, ameandika haya huku akiipongeza Simba kwa mambo kadhaa;

HAPPY SIMBA DAY Mnajua mimi sio mwanasimba; Lakini buana, |

1) Simba wameasisi hii mambo ya Matamasha ya Vilabu- hili ni jambo zuri.

2) Wameset viwango vya mechi na mafanikio Kimataifa na Mimi ni Shabiki wa SIMBA ya Kimataifa.

3) Simba haipati tabu kujaza uwanja iwe tamasha au mechi ya kimataifa. USIMCHUKIE MTU KWA KUFANIKIWA.

SIMBA NGUVU MOYA!!!!!

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button