Euro 2024

Uhispania imetinga hatua ya robo fainali ya kombe la Mataifa Ulaya EURO 2024 kufuatia ushindi wa 4-1 dhidi ya Georgia katika mchezo wa hatua ya 16 bora.

Spain itachuana na Germany kwenye robo fainali itakayochezwa Julai 5, 2024 katika dimba la MHPArena (Stuttgart).

FT: Uhispania  4-1  Georgia
⚽ Rodri 39’
⚽ Ruiz 51’
⚽ Williams 75’
⚽ Olmo 83’
⚽ Le Normand (og) 18’

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here