KITAIFA

DABO APEWA THANK YOU AZAM

Naambiwa hapa Baada ya majadiliano makali kwenye kikao cha dharura, bodi ya Azam FC imefikia maamuzi ya kuliondoa benchi lote la ufundi chini ya kocha Yousouph Dabo.

Muda wowote kuanzia sasa taarifa rasmi itatoka na kinachosubiriwa ni kumalizika kwa taratibu za kimikataba ili kila upande upate kinachostahili.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button