Simba SC imetangaza kumsajili mlinzi Valentin Nouma raia wa Burkina Faso kwa mkataba wa miaka mitatu.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 24 anaenda kutoa msaada kwenye eneo la full back ya kushoto.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here