simba

Klabu ya Simba Sc imemtangaza Fadlu Davids (43) kuwa kocha wao mkuu klabuni hapo akichukua mikoba ya Abdelhak Benchikha aliyeondoka kabla ya kumalizika kwa msimu uliopita .

Msimu uliopita kocha huyo alihudumu kwenye kikosi cha Raja Casablanca kama kocha msaidizi chini ya kocha mkuu Josef Zinnbauer Raia wa Germany,huku wakiisaidia timu hiyo kutwaa ubingwa wa ligi bila kupoteza mchezo hata mmoja.

Kocha Fadlu Davids anasifika kufundisha soka safi la chini lenye pasi nyingi.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here