Wachezaji wapya Simba

WACHEZAJI wapya wa Simba 2024/2025, Wachezaji wapya wa Simba SC msimu wa 2024/2025, Simba SC Squard 2024/2025, Wachezaji waliosajiliwa Simba 2024/25, Wachezaji wapya Simba 2024/2025.

Klabu ya Simba tayari imeanza kutoa taarifa mbalimbali kuhusu maboresho ya kikosi cha timu hiyo kuelekea msimu ujao wa 2024/2025.

Kuelekea Msimu Mpya wa 2024/2025 Nijuze Habari tutakuletea orodha ya Majina ya Wachezaji wapya wote watakaosajiliwa na Simba SC.

Orodha Kamili ya Wachezaji wapya wa Simba SC 2024/2025.

  1. Lameck Lawi kutoka Coastal Union.
  2. Joshua Mutale kutoka Power Dynamos.

Aidha dirisha la usajili kwa Ligi Kuu soka Tanzania Bara, Ligi ya Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake msimu wa mwaka 2024/25 tayari limefunguliwa Juni 15-2024 na litafungwa Agosti 15-2024.


Simba Sports Club ni timu ya soka iliyo na makao makuu katika mtaa wa Msimbazi, Kariakoo, katika jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo ilianzishwa mwaka 1936, ikiitwa kwanza Eagles na baadaye tena iliitwa Dar Sunderland.

Mwaka 1971 ikaibadilisha jina lake kabisa na kuitwa, Simba Sport Club (ambalo linamaanisha Lion kwa Kiinɡereza).

Simba Sports Club ni mojawapo ya timu kubwa ya mpira wa miguu nchini Tanzania, wapinzani wao karibu ni Younɡ Africans.

Ni mabingwa wa taifa mara 18 tena ni mabingwa mara 6 katika kombe la Kagame, kwenye Ligi Kuu ni Mabingwa mara 22.

Mechi zao za nyumbani Simba wanatumia viwanja viwili, ambavyo ni Uwanja wa Uhuru na Uwanja wa Taifa.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here