wachezaji wa simba
Baadhi ya wachezaji waliocheza Simba SC na kuwa vipenzi kwa mashabiki, baadae wakafanya maamuzi ya kujiunga na Yanga SC kwa miaka ya karibuni.
1. Juma Kaseja
2.Kelvin Yondan
3.Ibrahim Ajibu
4.Morrison
5.Mkude Jonas
6. Emanuel Okwi
7.Clatous Chama
Kati ya hawa ni uhamisho upi umeacha maumivu msimbazi____________?

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here