Rhulan Mokwena kuondoka Mamelodi

Taarifa za Uhakika kutokea Afrika Kusini zinaeleza kuwa Mamelodi Sundowns inajiandaa kuachana na kocha wao Mkuu Rhulani Mokwena.

Hii ni baada ya Kocha huyo kushindwa kuelewana na Mkurugenzi wa Michezo wa timu hiyo Flemming Berg juu ya staili ya uchezaji ya timu hiyo na aina ya sajili kwenye dirisha hili la usajili.

Kwa sasa msaidizi wa Mokwena, Manqoba Mngqithi anatarajiwa kuwaongoza Masandawana kwenye Pre season wakati wakisaka kocha mpya atakaeiongoza timu msimu ujao.

Kuna watu hawana kocha vipi Mokwena anawafaa?? mtamudu mahitaji yake??

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here