ureno

Ufaransa imeifuata Uhispania kwenye nusu fainali ya kombe la Mataifa Ulaya, EURO 2024 kufuatia ushindi wa penalti 5-3 dhidi ya Ureno kwenye robo fainali.

FT: Ureno 0-0 Ufaransa (ET 0-0)

MATUTA:

URENO: ✅✅❌✅

UFARANSA: ✅✅✅✅✅

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here