Caf

Shirikisho la Sola Barani Afrika (CAF) limewapa Klab ya RS Berkane ushindi wa Mabao 3 dhidi ya USM Algers ya nchini Algeria.

Matokeo haya ni ya mchezo wa Kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho ambao mchezo huo hakuchezwa kutokana na Sababu za Kidiplomasia na Kisiasa kati ya Algeria na Morocco.

Pia CAF imewaagiza USM Algers kwenda Morocco kucheza Mchezo wao wa nusu fainali ya pili dhidi ya RS Berkane na kama
hawatafanya hivyo Watafungiwa.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here