Klabu ya QRM ya nchini Ufaransa imetangaza kuachana na nyota wa zamani wa Simba SC, Pape Osmane Sakho Kwa makubaliano ya pande zote mbili.
Nyota huyo alijiunga na QRM mwaka jana Kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Simba SC Kwa dau la USD 750,000 sawa zaidi ya Tsh 2.16 billion.