Aziz Ki kuongeza mkataba

Taarifa za uhakika zinaeleza kuwa CR Belouizdad imetuma ofa ya mkataba wa miaka miwili kwa Aziz Ki ambae amemaliza mkataba ndani ya Yanga SC.

Wamemwekea mezani mshahara wa USD 440,000 ambazo ni sawa na zaidi ya Tsh billion 1.16 kwa mwaka ambazo ukizigawanyisha Kwa mwezi atakuwa anavuta kiasi Cha Tsh million 96.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here