Simba

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa ulikuwa kwenye wakati mgumu katika kutafuta matokeo hivyo kuja kwa Kocha Mkuu, Juma Mgunda kumetuliza hali kutokana na kocha huyo kuwaamini vijana na wachezaji wote wanafanya vizuri huku akibainisha kuwa walikuwa wamechafukwa kutokana na mwendo ulivyokuwa ndani ya timu hiyo.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here