KITAIFATETESI ZA USAJILI

DILI LA ONANA KWENDA QATAR LIMEFELI RASMI

Dili la mchezaji wa Simba Willy Esomba Onana huenda lisitimie  baada ya Uongozi na kamati  ya usajili kuanza kumjadili  kwa kina mchezaji  huyo.

Vilabu vya Qatar huwa vinapendekeza mchezaji wanayemtaka kumsajili kisha kuna kamati hukaa chini kumjadili mchezaji na kuchukua uamuzi wa mwisho.

Kuna baadhi ya vitu huangalia kama vile:

fomu ya wachezaji

malengo + usaidizi

rekodi za matibabu au majeraha

Inaonekana kamati haipendezwi na kiwango cha Onana na hawana uhakika kama anaweza kufanikiwa kwenye ligi hiyo na wamependekeza kutokuendlea na mpango huo.

Kama dili Ili likishindikana basi klabu hiyo itamrudisha kwenye Timu yake ya Simba Sc ambayo ana mkataba nayo Simba italazimika kumtaftia Klabu nyingine.

Onana aliondoka Simba na nafasi yake ilichukuliwa na Kipa Musa Camara,aula klabu ya Simba imtoe Ayoub Lakred ili Onana Baki maana inaonekana Bado anatakiwa kubaki Simba SC Tanzania

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button