KIMATAIFA
KOCHA WA MOROCCO AFUNGIWA NA CAF, SABABU HII HAPA
Shirikisho la soka Afrika CAF limemfungia kocha wa Morocco Walid Regragui mechi nne na hii imekuja baada ya kutokea kwa vurugu kwenye mchezo wao dhidi ya Congo
Hata hivyo shirikisho la soka Morocco limesema litakata rufaa kupinga uamuzi huo .
Morocco wamepata ushindi wa bao 1 – 0 dhidi za Zambia katika mchezo wa kumaliza kundi F, matokeo yaliyowafanya wamalize katika kundi na Point 7, hadi muda huu hakuna taarifa kama adhabu itaanza leo au kwenye mchezo ujao