Simba SC
-
AUDIO
SIMBA YASHUSHA MSHAMBULIAJI MPYA WA MOTO
Klabu ya Simba imemtambulisha mshambuliaji Freddy Michael Kouablan ambaye ni raia wa Ivory Coast mwenye miaka 26 ambaye amejiunga na…
Read More » -
BURUDANI
MASTAA HAWA WAPIGWA PANGA SIMBA, NA WAPATA TIMU HIZI ZA KUCHEZA LIGI KUU
NYOTA watatu kati ya sita waliotemwa na Simba katika dirisha dogo, Nassor Kapama, Jimmyson Mwanuke na Shaaban Idd Chilunda wamepata…
Read More » -
AUDIO
SIMBA YASHUSHA JEMBE LA KAZI
NYOTA Pa Omar Jobe ni mnyama mwingine baada ya kutambulishwa rasmi Januari 15 2024 ikiwa ni usajili wa kuboresha kikosi hicho kilichogotea nafasi ya pili…
Read More » -
AUDIO
NGOMA AMKUNA BENCHIKHA SIMBA, AMWAMBIA HAYA
KOCHA Mkuu wa Simba, Mualgeria Abdelhak Benchikha amefunguka kukoshwa na kiwango cha nyota wake, Fabrice Ngoma huku akisema kuwa amekuwa…
Read More » -
AUDIO
JEMBE LA BENCHIKHA LACHIMBA MKWARA MZITO
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Muivory Coast, Aubin Kramo ametaja siku atakayorejea kuichezea timu hiyo, huku akiahidi kuifanyia makubwa. Kiungo huyo…
Read More »