Simba SC
-
BOXING
MWAMBA SAIDO ATAJWA COASTAL UNION
MKALI wa mabao ndani ya kikosi cha Simba msimu wa 2023/24 Saido Ntibanzokiza anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa…
Read More » -
BOXING
UJIO WA SIMBA MPYA, WANASIMBA MJIANDAE KWA KICHEKO
BAADA ya Simba kugotea nafasi ya tatu msimu wa 2023/24 na pointi zake 69 kibindoni benchi la ufundi limebainisha kuwa kuna…
Read More » -
BOXING
SIMBA NA YANGA WASHINDWE WAO TU KUMNYAKUA KIUNGO HUYU HURU
BAADA ya msimu wa 2023/24 kugota mwisho timu zipo kwenye kusoma ripoti na kuangalia kipi ambacho watakifanya kuboresha timu zao kwa msimu wa…
Read More » -
BOXING
BREAKING NEWS: BARBARA ARUDI SIMBA…MO HATAKI MASIHARA
HABARI za Simba Leo ni za moto, za hivi punde tulizozinyaka ni kwamba aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo Barbara…
Read More » -
BOXING
TAYARI MWAMBA MZAMIRU KIMEELEWEKA
INAELEZWA kuwa kiungo wa kazi ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda kimeeleweka baada ya kufikia makubaliano ya kuongeza mkataba wa…
Read More » -
BOXING
ONYO LATOLEWA KWA ATAKAYEMSAJILI KIBU DENNIS
BOSI wa Simba, kwenye idara ya Habari na Mawasiliano Ahmed Ally ameweka wazi kuwa timu ambayo itamsajili mchezaji wao Kibu…
Read More » -
BOXING
SIMBA BADO HAIJABADILIKA HATAKAMA IMESHINDA DHIDI YA AZAM
LICHA yakupata ushindi mechi tatu na sare moja bado Simba matatizo yake ni yaleyale lazima yafanyiwe kazi katika ulinzi na umaliziaji nafasi ambazo…
Read More » -
BOXING
AZAM FC WATOA TAMKO HILI ISHU YA KUPOTEZA MBELE YA SIMBA
UONGOZI wa Azam FC umebainisha kuwa walishindwa kutumia nafasi ambazo walipata katika Mzizima Dabi dhidi ya Simba uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Mei 9 2024. Katika mchezo…
Read More » -
BOXING
MZIZIMA DABI AZAM FC YAPOTEZA POINTI TATU
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamepoteza pointi tatu mbele ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda katika mchezo wa…
Read More » -
BOXING
SIMBA YAZIPIGIA HESABU POINTI ZA AZAM FC
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Mei 9 2024 uongozi wa Simba umebainisha kwamba bado haujamaliza. Simba…
Read More »