KIMATAIFA

INIESTA ASTAAFU RASMI SOKA, HISTORIA YAKE YA MAKOMBE HII HAPA

Kiungo bora wa muda wote wa Hispania na klabu ya Barcelona Andres Iniesta ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka.

Katika maisha yake ya soka Iniesta ameshinda mataji haya;

πŸ† World Cup
πŸ† 2x Euro
πŸ† 4x Champions League
πŸ† 9x LaLiga
πŸ† 3x Club World Cup
πŸ† 3x Super Cup
πŸ† 6x Copa del Rey
πŸ† 7x SuperCopa
πŸ† 1x Japanese Champion
πŸ† 1x Japanese Cup
πŸ† 1x Japanese Super Cup

Neno moja kwa huyu Mwamba.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button