KITAIFA

EDNA LEMA AREJEA YANGA PRINCESS

Klabu ya Yanga imethibitisha kumrejesha aliyekuwa kocha wao mkuu wa timu ya Wanawake Edna Lema kuwa kocha mkuu kwa mara nyingine.

Edna ambaye aliondoka Yanga msimu wa baada ya 2022/23 kuelekea Bishara United ya ligi daraja la kwanza amerejea Yanga baada ya msimu mmoja na sasa atakuwa kocha mkuu wa Yanga Princess kwaajili ya msimu ujao.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button