Sasa ni wazi kuwa usajili wa Dani Olmo umekamilika na kazi imebaki kwa Barcelona kumtambulisha.
Taarifa zinasema mchezaji huyo anatarajiwa kutambulishwa rasmi kama mchezaji wa Barca kwenye viwanja vya Camp Nou tarehe 9 Agosti siku ya leo Ijumaa.