Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Mandojo amefariki Dunia hii leo jijini Dodoma.
Kwa mujibu wa rafiki yake wa karibu Msafiri L akithibitisha amesema sababu ya kifo cha msanii huyo ni amefariki baada ya kupigwa na watu akidhaniwa kuwa ni mwizi usiku wa kuamkia Leo.
Taarifa za kifo chake pia imethibitishwa na msanii mkongwe Soggy Doggy.
Tunaendelea kufuatilia Taarifa hii kwa undani Endelea kufuatilia website yetu ya sokaleo.co.tz