KITAIFA
SIMBA IKIFUNGWA MKE WANGU NI MALI YA ALI KAMWE
Kuelekea mechi ya Kariakoo Dabi katika Ngao ya Jamii ambayo itawakutanisha wababe wa soka nchini Tanzania Yanga na Simba, Mwijaku ambae nì shabiki wa Simba katoa ahadi ya kumpa mke wake Ally Kamwe kama timu yake ikifingwa.
“Yanga ikiifunga Simba namuweka mke wangu rehani, Ali Kamwe aje amchukue” – Mwijaku