KITAIFA

PICHA: MASHABIKI WA YANGA WANYWA SUPU, BAADA YA KUNUNUA TIKETI

Kama vile Ambavyo Meneja Habari wa Yanga Ally Kamwe alivyosema kuwa leo wananchi ambao watanunua tiketi za Siku ya Wananchi ambayo itafanyika tarehe 4, ndivyo ilivyofanyika leo zoezi la uuzaji tiketi umefanyika na supu zikanyweka.

Sokaleo Tulikuwepo maeneo ya Jangwani na kushuhudia zoezi hilo na tumekuwekea matukio kwa picha.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button