“Tumewaangusha Mashabiki wetu, Tumewaangusha Watanzania wote tumekuwa Aibu kwenye Taifa la watu mbele ya Team ambayo tunaiweza mbele ya Team ambayo tungeweza pata ushindi nyumbani na ugenini”
“Hatujacheza vizuri hata kidogo mechi zote mbili kuna wakati lazima ukweli mchungu useme tumefedheheka mno. Timu yetu sio mbaya ina ubora wa hali ya juu lakini tumeondoshwa ugenini”
“Siombi Msamaha leo wala sitetei WE NEED CHANGES ,WE NEED TO CHANGE, Soon Mtafurahi Azam Itacheza tena ,Azam Itafunga sana Azam Itakuwa Tishio RED BUTTON ON”
amesema Hasheem Ibwe, Afisa Habari wa Azam FC.