“Uongozi wa Simba uliopo upo kwa nguvu ya wanachama ambayo ndio Simba ya sasa hivi ambayo kiongozi wao ni Mangungu na yeye ndio anayeendesha shughuli za kila siku za klabu”

“Mo kama anataka kuingia Simba na ili awe na nguvu kwa huu mfumo uliopo sasa hivi inabidi asubiri miaka minne ufanyike uchaguzi agombee kama Mangungu”

“Baada ya hapo atakuwa mwenyekiti wa Simba ambaye anatambulika kiutaratibu wa uendeshaji wa Klabu”

“Kinachofanyika sasa hivi ni kwa sababu Mo ana hela sana lakini lazima kuwe na utaratibu unaoeleweka na watu wasifiche vitu”

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here