KITAIFA

MCHEZAJI APONA SARATANI NA KUREJEA UWANJANI

Mchezaji wa timu ya Taifa ya Uholanzi na aliyewahi kuwa mchezaji wa klabu ya Feyernood, FC Basel na Hertha Berlin Jean-Paul Boëtius amethibitisha kupona ugonjwa wa Saratani iliyomfanya kushindwa kucheza misimu miwili mfululizo 2022-24.

Mwezi septemba mwaka 2022 aligundulika kuugua saratani ya tezi dume na kuanza matibabu yaliyomuweka nje ya uwanja hadi alipopona rasmi.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button