CAF itavipatia kila timu inayocheza michezo ya awali ya Ligi ya Mabingwa Africa na Kombe la Shirikisho dola za Kimarekani elfu 50,000 sawa na shilingi milioni 135,311,542.40, pesa hizo zitasaidia kupunguza mzigo kidogo kwenye bajeti za malazi na usafiri.
CAF YAVIPUNGUZIA MACHUNGU VILABU VINAVYOCHEZA MICHEZO YA AWALI YA VILABU BARANI AFRICA
Previous ArticleHAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI AGOSTI 17,2024
Next Article AHMED ALLY AFUNGUKA MBILINGE USAJILI WA ATEBA
Related Posts
Add A Comment