Yanga

Yanga SC imetangaza kumuongezea mkataba wa miaka miwili utakaomalizika mwaka 2026 nyota wao Farid Mussa raia wa Tanzania.

Nyota huyo ni moja ya nyota waandamizi wa klabu hiyo ambapo ameichezea toka mwaka 2020.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here