Jana tumecheza mechi yetu ya mazoezi pale KMC na tumesikia milio Mingi ikivuma, tuwaambie ule ni uwanja wa Halmashauri ya Kinondoni ni fedha zetu wanakinondoni tumejenga ule uwanja, KMC tumempa tu ausimamie.
“Sasa wewe uwanja sio wako unaongea ongea tumefuata nini, wewe ni kwako? Na ule uwanja unapataje heshima kama Yanga haendi pale, watu wa mwenge jana wamefurahi sana kutuona sasa kama imewauma hameni na tutakuja tena, we unaumia kwako pale, sisi tunacheza popote hata bunju tukitaka tutacheza”
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe.