Mukwala

Simba SC imetangaza kumsajili mshambuliaji Steve Mukwala raia wa Uganda kwa mkataba wa miaka miaka mitatu.

Nyota huyo anaenda kuongeza nguvu kwenye eneo la ushambuliaji na ni moja kati wachezaji waliofanya vyema sana nchini Ghana msimu uliopita akiwa Asante Kotoko.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here