feisal

“Feisal hatujamuweka sokoni, lakini kwenye kipengele cha mkataba wake ili aondoke inabidi ilipwe $5M (Tshs 13B) mchezaji sio mfungwa ila akitaka kuondoka au kuna timu inamtaka inabidi fedha hizo zilipwe

” Ni kama ilivyokuwa kwa Kipre hatumuweka sokoni wala hatukuwa na mpango wakumuuza lakini kama anataka kuondoka ilibidi ilipwe $300K (Tshs 794 million) ameondoka”

Afisa Habari wa Azam FC, Thabit Zakaria ‘Zakazakazi’.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here