“Nina changamoto kwenye kushambulia, nina furaha na kikosi changu, lakini upo uwezekano wa kutafuta mshambuliaji mwingine na uzuri, uongozi umeonesha nia kunisapoti, nina imani tutasajili mshambuliaji mwingine.”
Fadlu Davids, Kocha Mkuu wa Simba SC akizungumza kuelekea mechi yao dhidi ya Coastal Union kwenye michuano ya Ngao ya Jamii.
Tetesi zinaeleza kuwa huenda klabu hiyo ikaachana na mshambuliaji wao Freddy Michael huku Stephan Mukwala akiongezewa nguvu.