KITAIFATETESI ZA USAJILI
BABU ONYANGO KUELEKEA DODOMA JIJI

Dodoma Jiji FC inatajwa kuiwinda saini ya mlinzi wa zamani wa Simba SC, Joash Onyango raia wa Kenya ambae alikuwa akiichezea Ihefu FC Kwa mkopo akitokea Simba.
Taarifa za ndani kabisa zinaeleza kuwa ni pendekezo la kocha wa timu hiyo Meck Mexime.