KITAIFA
AZAM FC YAMBEBA MUSTAFA MAZIMA
Azam FC imetangaza kumsajili moja Kwa moja kipa Mohamed Mustafa kutokea Al Merreikh ya Sudan Kwa mkataba wa miaka miwili.
Kipa huyo wa timu ya taifa ya Sudan alikuwa akiichezea timu hiyo Kwa mkopo wa miezi sita kabla y maboss wa benchi la ufundi kuvutiwa na kiwango chake na kumsajili moja Kwa moja.