Mzamiru

Kiungo mkabaji wa Simba, Mzamiru Yassin amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia Msimbazi.

Mkataba wa Mzamiru umemalizika mwishoni mwa msimu huu na mapendekezo ya kiufundi yamependekeza mchezaji huyo kubaki kutokana na mchango wake, hivyo uongozi wa Simba umemuongezea miaka mingine miwili ya kuendelea kusalia kikosini.

 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here