“Mpaka sasa nimepokea ofa kutoka timu tatu kubwa, Simba ni moja wapo ya timu zinazohitaji huduma yangu.

Siwezi nikasema nitakubali ofa kutoka timu gani kwa sasa, lakini kabla ya kukubali ofa kutoka klabu ya Simba, nitakuwa na masharti yangu ambayo ikitokea tumeafikiana vyema huenda ikawa jambo jema kwa pande zote mbili.

Bado tupo kwenye mazungumzo na kama tutafikia pazuri itakuwa vyema, ila kama tutaishia njiani pia kuna klabu nyingine zinanihitaji”

🗣 Fiston Mayele

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here