Uhispania imetinga hatua ya 16 bora ya kombe la Mataifa Ulaya EURO 2024 kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Italia katika dimba la Veltins Arena (Gelsenkirchen) kwenye mchezo wa raundi ya pili wa kundi B
FT: SPAIN 1-0 ITALY
Calafiori (og) 55’
Uhispania — mechi 2 — pointi 6
Italia — mechi 2 — pointi 3
Albania — mechi 2 — pointi 1
Croatia — mechi 2 — pointi 1
MECHI ZA MWISHO KUNDI B
Italia vs Croatia
Uhispania vs Albania